Released on 29th December 2017

Karibuni katika kipindi chenu cha TKR maarufu kama "Shikamoo." Shikamoo ni neno linalotumiwa kumsabahi mtu. Jibu lake ni "Marahaba". Shikamoo ya leo ni ya pili(002) na imeletwa moja kwa moja na msanii shupavu Exgxnx Gxcxgx, anayejulikana kwa mtindo wake wa THE 47 FREQUENCY (@user-266961844) Bila shaka kumekucha kulichele na nyote mko wazima kama ngarenge za mivule! Basi furahia ngoma za kutoka Kenya!

  • SoundCloud Social Icon
  • Twitter Social Icon
  • Instagram Social Icon